• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Takwimu za washindi katika mbio za Baiskeli Rwanda

    (GMT+08:00) 2017-11-17 10:07:19
    Licha ya kushika nafasi ya pili katika siku ya nne jana, Joseph Areruya wa Rwanda anaendelea kuongoza kitakwimu kwenye mashindano ya kimataifa ya Baiskeli yanayofanyika nchini Rwanda.

    Mpaka sasa ametumia saa 11 na dakika 15 kuendesha baiskeli katika umbali wa kilomita 516.

    Kwenye mbio za jana, zenye umbali wa kilomita 121 kuanzia Mji wa Musanze hadi Nyamata mshindi aliibuka Eyob Mektel wa Eritrea.

    leo ni siku ya tano ambapo nyota hao watachuana umbali wa kilomita 93 kuanzia mjini Nyamata hadi Rwamagana.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako