• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Iraq yagundua miili 20 kwenye ngome ya zamani ya IS

    (GMT+08:00) 2017-11-17 10:10:02

    Polisi wa Iraq wamegundua kaburi lenye miili 20 ya watu katika eneo lililokombolewa hivi karibuni kutoka kwa Kundi la Islamic State IS katika jimbo la Salahudin.

    Timu ya madaktari kutoka idara ya afya ya mkoa huo itafika kwenye eneo la tukio kwa ajili ya ukaguzi. Vikosi vya usalama vya Iraq vilikomboa eneo hilo la Shirqat, ikiwa ni sehemu ya operesheni ya kupambana na IS kwenye eneo la jirani la Hawijah.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako