• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Saudi Arabia yakanusha kumzuiawaziri mkuu wa Lebanon

  (GMT+08:00) 2017-11-17 18:44:01

  Waziri wa mambo ya nje wa Saudi Arabia Bw. Adel bin Ahmed Al-Jubeir amesema, kauli kuhusu nchi hiyo kumzuia waziri mkuu wa Lebanon Bw. Saad Hariri si ya kweli.

  Akizungumza na waandishi wa habari akiwa pamoja na waziri wa mambo ya nje wa Ufaransa Bw. Jean-Yves Le Drian ambaye yuko ziarani nchini Saudi Arabia, Bw. Al-Jubeir amesema, Bw. Hariri aliamua kujiuzulu peke yakee, na yuko huru kuondoka kutoka Saudi Araibia wakati wowote.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako