• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa lakataa muswada wa Bolivia kuhusu uchunguzi wa mashambulizi ya silaha za kemikali nchini Syria

    (GMT+08:00) 2017-11-17 18:51:20

    Baraza la Usalama la Umoja wa Mataifa limekataa muswada ulioandaliwa na Russia na kuwasilishwa na Bolivia kuhusu kuongeza muda wa tume ya kuchunguza matumizi ya silaha za kemikali nchini Syria.

    Muswada huo, ambao uliandikwa na Russia na kufanyiwa marekebisho madogo, ulikataliwa kwa kuwa wajumbe wanne tu wa Baraza hilo walipiga kura ya kuukubali, hivyo kushindwa kufikia idadi inayotakiwa ya kura tisa ili muswada uweze kupitishwa.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako