• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Marais wa Uturuki, Russia na Iran wafanya mazungumzo kuhusu suala la Syria

    (GMT+08:00) 2017-11-17 19:05:39

    Habari kutoka ikulu ya Uturuki zinasema marais wa Uturuki, Russia na Iran wanatarajiwa kukutana mjini Sochi, Russia tarehe 22 mwezi huu, kujadili suala la Syria.

    Shirika la habari cha Anadolu cha Uturuki limesema marais hao watahudhuria mazungumzo hayo ambayo ajenda kuu ni maendeleo mapya ya hali nchini Syria na hali ya kikanda.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako