• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Zimbabwe kukutana na mkuu wa jeshi kwa mara ya pili

    (GMT+08:00) 2017-11-19 16:24:45

    Shirika la Habari la Zimbabwe ZBC limesema, Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe anatarajiwa kukutana na Mkuu wa Jeshi la Ulinzi la nchi hiyo Constantine Chiwenga hii leo.

    Shiriko hilo limemnukuu Kasisi wa kanisa Katoliki Fidelis Mokonori, ambaye ni mmoja wa watu wanaoshughulikia mazungumzo hayo.

    Huu utakuwa ni mkutano wa pili kati ya rais Mugabe na Chiwenga tangu jeshi lilipotwaa madaraka wiki hii.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako