• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa Israel akataa ombi la kumsamehe askari aliyemuua mpalestina

    (GMT+08:00) 2017-11-20 09:02:46

    Rais Reuven Rivlin wa Israel amekataa ombi la kumsamehe askari aliyemuua kwa kumpiga risasi mpalestina mmoja aliyekuwa na kisu ambaye alijeruhiwa vibaya, licha ya viongozi wa kisiasa wa nchi hiyo kutoa wito wa kumsamehe. Askari huyo Elor Azaria alikutwa na hatia ya mauaji na kuhukumiwa kifungo cha miezi 18 na mahakama ya kijeshi, na alianza kutumikia kifungo chake mwezi Agosti, baada ya maombi mbalimbali kutolewa kutaka kufuta hukumu dhidi yake.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako