• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Nigeria yashukuru uungaji mkono wa kimataifa kwenye mapambano yake dhidi ya ugaidi

    (GMT+08:00) 2017-11-20 09:53:22

    Taasisi ya uchumi na amani IEP ilitoa ripoti ya mwaka huu kuhusu ugaidi wa kimataifa, ikisema Nigeria imepiga hatua katika mapambano dhidi ya ugaidi.

    Waziri wa habari na utamaduni wa Nigeria Bw. Lai Mohammed amefurahia ripoti inayoonyesha kuwa tatizo la ugaidi nchini Nigeria limepungua kwa kiwango kikubwa.

    Ripoti imesema kuwa idadi ya watu waliouawa na kundi la Boko Haram ilipungua kwa asilimia 80 katika mwaka 2016, na kusisitiza kuwa ushindi wa Nigeria kwenye mapambano dhidi ya ugaidi unatokana na uongozi thabiti wa rais Buhari.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako