• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Meli ya hospitali ya jeshi la majini la China Peace Ark yawasili Tanzania

    (GMT+08:00) 2017-11-20 09:53:38

    Meli ya hospitali ya jeshi la majini la China Peace Ark jana asubuhi iliwasili Dar es Salaaam, na kuanza kutoa huduma za matibabu bila malipo kwa wenyeji katika siku nane zijazo.

    Hii ni mara ya pili kwa meli ya Peace Ark kutembelea Tanzania katika miaka 7 iliyopita.

    Kamanda wa meli hiyo Bw. Guan Bailin amesema kwenye ziara hiyo, madaktari watatoa huduma za kimatibabu, misaada ya kibinadamu, na mafunzo ya kimatibabu ili kuzidisha uhusiano na mawasiliano kati ya China na Tanzania.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako