• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Miss Kenya akamata nafasi ya tano shindano la dunia

    (GMT+08:00) 2017-11-20 10:10:59

    Magline Jerito amefanikiwa kuitangaza vyema bendera ya Kenya kimataifa baada ya kushinda nafasi ya tano katika kinyang'anyiro cha kumsaka mrembo wa dunia (Miss World) 2017 kilichofanyika mjini Sanya-China.

    Kwa nafasi hiyo aliyotapa kati ya warembo wahiriki 118 duniani, Magline ni mshindi wa miss World Afrika kati ya washindani 25 kutoka nchi zingine za Afrika.

    Hii ni mara ya pili kwa Kenya kukamata nafasi hiyo kwenye shindano la dunia baada ya Evelyne Njambi kufanya hivyo mwaka 2016.

    Lakini taji la Miss World 2017 mwaka huu limekwenda kwa Manushi Chhillar wa India.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako