• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mahakama kuu ya Kenya yasema matokeo ya uchaguzi wa urais uliofanyika upya ni halali

    (GMT+08:00) 2017-11-20 18:34:52

    Mahakama kuu ya Kenya leo imethibitisha kuwa matokeo ya uchaguzi wa urais uliofanyika upya tarehe 26 mwezi uliopita, ni halali.

    Kenya ilifanya marudio ya uchaguzi wa urais tarehe 26 mwezi Oktoba, na matokeo ya uchaguzi huo yalimpa rais Kenyatta ushindi kwa kupata asilimia 98.3 ya kura.

    Kiongozi wa muungano wa upinzani wa NASA nchini Kenya Bw. Raila Amolo Odinga tarehe 31 mwezi Oktoba alisema, hatakubali matokeo ya uchaguzi huo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako