• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Bei ya magari Kenya yashuka kwa asilimia 20

    (GMT+08:00) 2017-11-20 19:15:17

    Bei ya magari nchini Kenya imeshuka kwa asilimia 20 kutokana na kipindi kirefu cha siasa na shughuli za uchaguzi.

    Mkuu wachama cha wauza magari nchini humo Charles Munyori amesema wanaouza magari makuukuu hawajauza kama mwaka jana na wamelazimika kupunguza bei.

    Wanunuzi wanalengwa kwanza wanaamua kusbiri kuona hali ya kisiasa huku nazo benki zikiwa hazitoi mikopo ya kununua magari.

    Aidha taakwimu rasmi zinaonyesha kwamba uagiziaji wa magari hayo umepungua kwa asilimia 16 katika miezi 3 iliopita.

    Mfano wa magari yalioshuka bei ni kama vile Toyota Belta model is retailing at shilingi 700,000 lakini awali ilikuwa ni 850,000 Mazda Demio sasa ni 550,000 ikilinganishwa na bei ya 600,000, miezi kadhaa iliopita.

    Wadau kwenye sekta hiyo sasa wanasubiri k uona kama watapata ongeeko la mauzo ikiwa umamuzi wa mahakama kuu nchini Kenya imetoa uamuzi kwamba Rais Uhuru Kenyatta alishinda uchaguzi wa Okotoba nane na hivyo kumaliza kipindi cha siasa na uachuzi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako