• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda-Mashirika ya kifedha Uganda yatakiwa kutoa mikopo kwa wanawake mashinani

    (GMT+08:00) 2017-11-20 19:16:12

    Mashirika ya kifedha nchini Uganda yametakiwa kutoa mikopo kwa wanawake wanaoishi mashinani ili kuwawezesha kutekeleza miradi ya kujiletea mapato,

    Aidha mashirika hayo ambayo ni pamoja na benki ndogo ndogo yametakiwa kupeleka huduma zao karibu na wananchi ili kuwaondolea dhiki ya kusafiri hadi mji mkuu kamapala.

    Wito huo umetolewa na profesa Consolate Kabonesa, wa chuo kikuu cha Makerere katika hafla ya jisia na maendelo iliofanyika mjini Kampala.

    Hafla hiyo iliandaliwa na wanafunzi wa zamani wa taasisi ya kitivo cha elimu ya jamii katika chuo hico.

    Wakulima wanawake nchini Uganda ndio wengi nchini Uganda lakini mara nyingi wanakosa mitaji ya kujiendeleza kwani taasisi za kifedha hazitoi mikopo kwao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako