• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya:Bei ya mafuta yazidi kupanda

    (GMT+08:00) 2017-11-20 19:16:32

    Tume ya kawi nchini Kenya imeongeza bei ya reja reja ya mafuta kw mara nyingine tena.

    Katika tangazo la hivi karibuni litakalotumika wiki hii,mafuta ya Diseli,Petroli na mafuta taa yameongezwa bei ikiwa sasa yamepanda zaidi katika mda wa miaka mitatu.

    Petroli lita moja imepanda kwa dola 1.03 diseli nayo kwa 0.94 nayo mafuta taa kwa 0.71.

    Pavel Robert mkurugenzi wa tume hiyo amesema ongezeko hilo limetokana na kupanda kwa bei ya kimataifa ya mafuta.

    Wamiliki wa magari binafsi ,viwanda na wananchi wa kawaida wanaotumia mafuta taa wameanza kulalamikia kupanda kwa gharama ya maisha kutokana na bei ya mafuta.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako