• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda:Vijana washauriwa kujikita kwenye ujasiriamali

    (GMT+08:00) 2017-11-20 19:17:32

    Vijana nchini Rwanda wametakiwa kujingatia zaidi ujasiriamali katika juhudi za kupata ajira na kuchangia maendeleo ya kijamii.

    William Furaha meneja wa miradi ya vijana katika wizara ya vijana na jinsia amesema vijana wanapaswa kutumia mbinu na ujuzi wa masomo yao kubuni ajira .

    Katika kongamano la kila mwaka vijana wamehimizwa kufanya miradi ya kilimo cha chakula na mifugo kwa mauzo ya nje.

    Serikali ya Rwanda imeanzisha vituo katika mikoa yote ya Rwanda kuhakikisha vijana wahamasihwa kuhusiana na kilimo.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako