• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Magari ya mashindano ya Mwendokasi

    (GMT+08:00) 2017-11-21 09:14:31
    Madereva wa mashindano ya magari ya mwendokasi (F1) wameendelea kutoa maoni yao kuhusu mbio hizo kwa msimu huu, huku wakitoa pia mitazamo katika msimu ujao wa mbio hizo.

    Kwa mwaka huu licha ya kupongeza ushindi kwa timu pinzani, Mbrazil Fernando Alonso wa timu ya MacLaren amesema Mercedes itaendelea kufanya vizuri hata kwa msimu wa mwaka ujao wa 2018 kama ambavyo wamefanya katika misimu mine iliyopita.

    Kuhusu timu yake ya McLaren, Alonso amesema iwapo mabadiliko ya kiufundi yatafanyika ni wazi kuwa wataongeza ushindani tofauti ana ilivykuwa mwaka huu.

    Madereva hao wanajiandaa na mbio za mwisho msimu huu zitakazofanyika mwishoni mwa juma hili mjini Abu Dhabi nchini Umoja wa Falme za Kiarabu.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako