• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Sera ya utafiti wa Afrika yazinduliwa

    (GMT+08:00) 2017-11-21 18:42:47

    Sera ya utafiti wa kilimo imezinduliwa mjini Addis Ababa Ethiopia ikilenga kutathmini kilimo biashara na athari zake za kiuchumi kwa wanawake, kupunguza umaskini na kujitosheleza kwa chakula barani Afrika.

    Sera hiyo ya miaka 5 imeziduliwa wakati wa mkutano wa kujadili sera ya ardhi barani Afrika iliofanyika mjini humo.

    Itafadhiliwa na idara ya maendeleo ya kimataifa ya uingereza Dfid na mwenyekiti wake ni Janet Edeme

    Nchi nyingi barani Afrika hutegemea kilimo kwa uchumi wao lakini wakulima wengi hukosa ufadhili kujiendeleza.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako