• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Treni ya mjini Nairobi kuwa na ratiba mpya

    (GMT+08:00) 2017-11-21 18:44:09

    Shirika la reli nchini Kenya (KRC) limesema litapanga upya ratiba ya uchukuzi wa treni kati ya Syokimau na eneo la katikati mwa jiji ili kuwezesha wasafiri kufika kazini mapema.

    Chini ya mpango mpya utakaoanza desemba 1 treni itaondoka Syokimau saa 6.40 na kufika mjini saa 7.27 am.

    Treni ya pili itaondoka 7.40 na kufika mjini saa 8.27.

    Mkurungezi mkuu wa shirika hilo Antanas Maina amesema wataendelea kubadilisha ili kukidhi mahitaji ya wasafiri.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako