• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Kenya yaanza kuagiza molasi kutoka Sudan

    (GMT+08:00) 2017-11-21 18:44:25

    Kenya imeanza kuagiza molasi huku uzalishaji wa miwa ukipungu.

    Shehena ya kwanza ya molasi imewasili katika bandari ya Mombasa ikiwa na zaidi ya tani 12,000 za bidhaa hiyo.

    Kampuni moja ya Raw Trade Ltd, imeshirikiana na ile ya kimataifa ya Trading kuagiza molasi kutoka Sudan.

    Mkurungezi wa Raw Trade Abdiwahab Rashid amesema wanatarajia kuagiza tani 12,000 kila mwezi ili kusaidia kukidhi upungufu unaotarajiwa kuendelea kwa miaka .

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako