• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Thamani ya sekta ya utengenezaji mpya nchini China kufikia dola za kimarekani bilioni 30 ifikapo mwaka 2020

    (GMT+08:00) 2017-11-22 18:09:45

    Wizara ya Viwanda na Teknolojia ya Habari ya China imesema, thamani ya jumla ya sekta ya utengenezaji mpya nchini China inatarajiwa kufikia dola bilioni 30 za kimarekani ifikapo mwaka 2020.

    Katika mpango kazi wa sekta ya utengeneza mpya wa kisasa uliotolewa na wizara hiyo, katika miaka mitatu ijayo, maeneo muhimu ikiwemo vifaa vya matibabu, mashine kubwa, na vifaa vya kuzalisha mafuta na gesi, vitapewa kipaumbele katika maendeleo.

    Mpango huo umesema China itaboresha matumizi ya teknolojia ya kijani katika sekta ya utengenezaji mpya.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako