• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mashindano ya riadha nchini Rwanda ya disemba 26

    (GMT+08:00) 2017-11-23 13:29:25

    Shirikisho la riadha nchini Rwanda (RAF) limetangaza ratiba ya mashindano yatakayofanyika Novemba 26 mjini Kigali, kushirikisha wakimbiaji 2000 wa kada tofauti.

    Wakimbiaji wa ridhaa watashiriki mbio za kilomita 5 na wale wa kulipwa watashindana katika umbali wa kilomita 21.

    Miongoni mwa majina makubwa ya wanariadha wa riadha watakaoshiriki na timu zao ni mwana dada Salome Nyirarukundo na kwa upande wa wanaume ni Noel Hitimana na Jean Marie Vianney Myasiro.

    Kwa mujibu wa RAF, Mshindi wa nafasi ya kwanza atazawadiwa pesa thamani ya Faranga za Rwanda 100,000, wa pili 80,000 na wa tatu 60,000

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako