• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Timu za Kenya na Uganda zajiandaa na mashindano ya kimataifa Raga

    (GMT+08:00) 2017-11-23 13:30:04

    Meneja wa timu ya taifa ya Kenya ya mchezo wa raga ya Kenya, Eric Ogweno ametangaza kuwa mchezaji Oscar Ayodi atajumishwa katika kikosi kitakachoriki mashindano ya dunia (Sevens Series) Dubai na Capetown, akichukua nafasi ya nahodha wa timu hiyo Andrew Amonde ambaye ni majeruhi sasa na akitarajiwa kupona baada ya miezi miwili.

    Mchezaji mwingine ambaye atakosekana katika kikosi maalum cha wachezaji saba wa Kenya ni Billy Odhiambo ambaye wa miezi mitatu.

    Lakini nchini Uganda, mchezaji mkongwe wa raga Timothy Mudoola amejumuishwa katika kikosi kitakachoshiriki mashindano hayo ikiwa ni baada ya miaka saba aliposhiriki kwenye mashindano ya jumuiya ya madola mwaka 2010 nchini India.

    Uganda na Kenya zipo kundi moja na Afrika Kusini, pamoja na Canada zikitarajiwa kuchuana kuanzia Disemba Mosi mjini Dubai.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako