• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Lewis Hamilton akubali kuongeza mkataba na Timu ya Mercedes

    (GMT+08:00) 2017-11-23 13:30:35

    Kwenye mashindano ya magari ya mwendokasi - Langalanga, maarufu kama F1 Kuna taarifa, Dereva Mwingereza Lewis Hamilton, heunda akaongeza mkataba wa kuitumikia timu yake ya sasa ya Merecedes, kwa kipindi kirefu zaidi endapo baadhi ya vipengele vitatekezwa katika mazungumzo yanayoendelea baina yake na uongozi wa timu.

    Mkataba wa bingwa huyo wa msimu huu kwenye mashinndano ya magari ya mwendakosi, unamalizika mwishoni mwa msimu ujao, lakini taarifa zinasema kuwa tayari amekubali kuongeza mkataba hadi mwaka 2020 ambao utamfanya aingize kiasi cha fedha zenye thamani ya pauni za kiingereza milioni 40 kwa mwaka.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako