• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda:China kufanya mradi taasisi ya mafuta na gesi Uganda

    (GMT+08:00) 2017-11-23 19:49:47

    Rais Yoweri Kaguta Museveni wa Uganda ameidhinisha ujenzi wa kiwanda cha taasisi ya mafuta na gesi kitakachotoa mafunzo ya kimataifa ya sekta hiyo.

    Museveni ameahidi kwamba wawekezaji wa China watakaojenga na kusimamia kituo hicho watapunguziwa ushuru kwa ajiili ya kuleta maendeleo na teknolojia kwenye sekta ya kawi.

    Li Yu Meneja wa mradi huo amesema watafundisha wanafunzi 1600 kila mwaka katika uchimbaji wa mafuta na gesi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako