• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mechi za maandalizi ya ligi kuu Rwanda

    (GMT+08:00) 2017-11-24 09:37:04
    APR imefuzu kwa hatua ya nusu fainali ya mashindano maalum ya maandalizi kwa ajili ya msimu mpya ligi kuu ya kikapu nchini Rwanda.

    Timu hiyo imeifunga Patriots kwa pointi 76-69 na kushika nafasi ya kwanza kwenye msimamo wa kundi A.

    Katika mechi ya nusu fainali APR itapambana na IPRC Kigali kesho jumamosi katika uwanja wa ndani wa Amahoro saa kumi jioni kwa saa za Afrika Mashariki.

    Na kwenye mechi nyingine ya Nusu fainali, Timu ya shirika la nishati la Rwanda (REG) itacheza na Patriots saa kumi na mbili.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako