• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Maandalizi ya mbio za Marathon Nairobi

    (GMT+08:00) 2017-11-24 09:37:25
    Kamati ya maandalizi ya Mbio za Marathon za Nairobi imesema zoezi la kusajili washiriki linafungwa leo, lengo likiwa ni kufikisha washiriki 20,000.

    Mwenyekiti wa kamati hiyo, Peter Gitau amesema kuna makundi mawili ya washiriki, yaani ridhaa na wale kulipwa.

    Katika wanariadha 200 wakulipwa, Gitau amesema wamo pia mabingwa wa mbio za kimataifa waliosajili nusu marathoni na mbio ndefu.

    Katika mbio kama hizi mwaka jana, wanariadha 19,000 walijitokeza na ubingwa ulitwaliwa na Robert Kipkemboi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako