• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Uganda yaitaka India kufungua soko kwa bidhaa zake

    (GMT+08:00) 2017-11-24 19:23:02
    Rais wa Uganda Yoweri Museveni ameitaka India kufungua soko kwa bidhaa kutoka nchini humo.

    Amesema ikiwa India itafungulia bidhaa zaidi kuingia kwenye soko lake, basi hiyo itasaidia kusawazisha biashara kati ya nchi hizo.

    Museveni amesema awali kumekuwa na vikwazo vingi kwa maziwa kutoka Uganda kuingia India.

    Taakwimu kutoka kwa wizara ya biashara ya Uganda zinaonyesha kuwa India iko kwenye nafasi ya kwanza ambapo Uganda huagiza bidhaa.

    Nayo Uganda kulingana na taakwimu hizo imeuza India bidhaa za thamani ya dola milioni 45.1 mwaka 2016.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako