• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda: Rwanda na Cape Verde zasaini makubaliano ya huduma za uchukuzi wa ndege 

    (GMT+08:00) 2017-11-24 19:24:12

    Rwanda na Cape Verde zimetia saini makubaliano ya huduma za uchukuzi wa ndege.

    Waziri wa uchukuzi wa Rwanda, Jean de Dieu Uwihanganye ametia saini makubaliano hayo wakati wa mkutano wa dunia wa usafiri wa anga uluifanyika mjini Abuja Nigeria.

    Makubaliano hayo pia yataliwezesha shirika la ndege la Rwanda, Rwadair kuhudumu kwenye maeneo zaidi.

    Aidha waziri Jean alijadili uwezekano wa makubaliano kama hayo na serikali ya Nigeria ili kuwezesha Rwadair kuhudumu hadi mjini Abuja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako