• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Uagiziaji wa bidhaa wa Kenya kutoka Afrika Kusini waongezeka kwa shilingi bilioni 11

    (GMT+08:00) 2017-11-24 19:27:20
    Uagiziaji wa bidhaa wa Kenya kutoka Afrika Kusini umeongezeka kwa shilingi bilioni 11 kutoka katika kipindi cha miezi 8 ya mwaka wa 2017.

    Kiwango hicho kimepita kile Kenya inachoagizia kutoka Marekani.

    Kipndi sawa na hicho mwaka jana Kenya iliagizia bidhaa za shilingi bilioni 31.

    Bidhaa Kenya inazonunu Afrika Kusini ni kama vile mvinyo, magari, vipuli na mashine.

    Taakwimu zinaonyesha uagiziaji kutoka Marekani kwa Kenya katika kipindi hicho cha miezi 8 ulifikia shilingi bilioni 40.

    Hata hivyo Kenya imeuza bidhaa za shilingi bilioni 5 tu Afrika Kusini ndani ya kipindi hicho.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako