• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Martyrs mabingwa wa ligi ya Vyuo Vikuu Uganda

    (GMT+08:00) 2017-11-27 10:19:21
    Tukisalia nchini Uganda, timu ya Chuo Kikuu cha Martyrs cha Kampala kimefanikiwa kutwaa ubingwa wa mashindano ya mpira wa miguu kwa vyuo vikuu vya Uganda kwa kuifunga timu ya Chuo kikuu kishiriki cha Biashara cha Makerere MUBs kwa magoli 2-0.

    Magoli ya Martyrs kwenye mechi hiyo iliyochezwa kwenye uwanja wa Mandela mjini Kampala, yalifungwa na Douglas Owori na Ruben Lubega.

    Katika mchezo wa kusaka mshindi wa tatu Chuo kikuu cha Nkumba cha Entebbe kiliishinda timu ya Chuo kikuu cha Gulu kwa matokeo ya 2-1.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako