Ufaransa walianza kwa ukali na kuongoza kabla ya Ubelgiji kusawazisha kupitia David Goffin lakini Ufaransa ikaongeza makali tena na kushinda kwa seti 7-6 (7-5) 6-3 6-2.
Ubeligiji ndiyo walikuwa wanapewa nafasi kubwa ya kushinda kutokana na uonyesha kiwango safi kwa msimu huu.
Mara ya mwisho mwa Ufaransa kushinda taji hili ilikuwa mwaka 2001, na awamu hii wakijizolea sifa mbele ya mashabiki 27,000 waliojitokeza katika uwanja wa Lille.
© China Radio International.CRI. All Rights Reserved. 16A Shijingshan Road, Beijing, China. 100040 |