• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ufaransa washinda taji la ubingwa wa Dunia

    (GMT+08:00) 2017-11-27 10:27:34

    Ufaransa imefanikiwa kushinda kombe la kombe la kimataifa la mchezo wa tennis maarufu kama Davis Cup kwa mara ya kumi katika historia baada ya kuichapa Ubelgiji katika mchezo wa fainali.

    Ufaransa walianza kwa ukali na kuongoza kabla ya Ubelgiji kusawazisha kupitia David Goffin lakini Ufaransa ikaongeza makali tena na kushinda kwa seti 7-6 (7-5) 6-3 6-2.

    Ubeligiji ndiyo walikuwa wanapewa nafasi kubwa ya kushinda kutokana na uonyesha kiwango safi kwa msimu huu.

    Mara ya mwisho mwa Ufaransa kushinda taji hili ilikuwa mwaka 2001, na awamu hii wakijizolea sifa mbele ya mashabiki 27,000 waliojitokeza katika uwanja wa Lille.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako