• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Uganda iko kwenye nafasi ya 84 katika ukusanyaji ushuru duniani

    (GMT+08:00) 2017-11-27 18:16:39
    Ripoti iliotolewa na benki ya dunia pamoja na shirika la PricewaterhouseCoopers inaonyesha kuwa Uganda iko kwe nye nafasi ya 84 katika viwango vya dunia vya ulipaji ushuru.

    Ripoti hiyo iliotolewa Novemba 21 inaonyesha kuwa Uganda imeshuka nafasi nne tangu mwaka 2915.

    Katika kanda ya Afrika mashariki Rwanda iko kwenye nafasi ya 31, Kenya 92 Tanzania 164, Burundi 138 na Sudan Kusini 68.

    hata hivyo mkurungezi wa kitengo cha ushuru kwenye shirika la PwC nchini Uganda Richard Marshall, amesema nafasi ya nchi hiyo haiku chini snaa kikanda na pia imechangiwa na sera bora za kukusanya na kuweka rekodi za ushuru.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako