• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Uganda: Waziri wa wanyama pori Uganda alalamikia bajeti ndogo

    (GMT+08:00) 2017-11-27 18:16:56
    Waziri wa wanyama pori nchini Uganda Ephraim Kamuntu, amelalamikia bajeti ndogo iliotengewa sekta ya utalii na uhifadhi.

    Akiongea wakati wa kuszinduliwa kwa ripoti ya uhifadhi ya mwaka 2016 waziri huyo alisema serikali inatakiwa kuongeza juhudi ili kuvutia watalii zaidi nhini humo.

    Alisema bejeti ya jumla kwenye sekta ya utalii na uhifadhi ni asilimia 0.02 ya bajetyi yote ya kitaifa na hivyo inaonyesha serikali bado haijatilia maanani uafdhili wa sekta hizo.

    Bajeti ya mwaka 2017/2018 ilikuwa ni shilingi trilioni 29 na serikali ilitenga bilioni 98 tu kwa sekta ya utalii.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako