• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • KRA kuuza kwa mnada magari yalioko Mombasa kwani yamepitisha muda unaotakiwa

    (GMT+08:00) 2017-11-27 18:17:33
    Mamlaka ya kukusanya ushuru nchini Kenya KRA inapanga kuuza kwa mnada magari yalioko kwenye bohari lake la Mombasa kwani yamepitisha muda unaotakiwa.

    Aidha KRA itauza nafaka ambazo zimeagizwa kutoka nje lakini zimesalia bandarini baadhi zikiwa ni za wafanya biashara wa Uganda.

    Ijumaa mamlaka hiyo ilitoa notisi ya mwezi mmoja kwa wenye magari 163 kulipa ushuru husika na kuondoa magari yao kabla ya siku yam nada ambayo ni tarehe 17 Januari.

    Magari hayo hasa yanamilikiwa na makampuni ya kuagiza yalioko

    Nairobi, Nakuru, Eldoret na Mombasa.

    Mengi ni aina ya Toyota, Nissan, Mitsubishi, , Honda, Hyundai, Mazda na Subaru.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako