• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • AZAM yapewa zabuni ya kutangaza CECAFA

    (GMT+08:00) 2017-11-27 18:18:10
    Kampuni ya kutoa huduma za runinga ya AZAM imeshinda zabuni ya kutangaza mashindano ya kandanda ya CECAFA yatakayofanyika kati ya Decemba 3-17 nchini Kenya.

    Kampuni hiyo yenye makao yake makuu nchini Tanzania ilinunua haki za kutangaza michezo hiyo kwa miaka mitatu ijayo.

    Katibu mkuu wa CECAFA Nicholas Musonye amesema pia AZAM wamenunua haki za kutangaza mechi za kombe la Kagame.

    Kampuni hiyo italipa mshindi wa mashindano hayo dola $30,000, nafasi ya pili dola $20,000 na wa tatu $10,000

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako