• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Rais wa Tanzania asifu matibabu yalizotolewa na madaktari wa meli ya jeshi la majini la China "Peace Ark"

  (GMT+08:00) 2017-11-27 19:30:08

  Rais John Magufuli wa Tanzania amewaaga madaktari na askari wa meli ya matibabu ya jeshi la majini la China "Peace Ark" kwa huduma ya tiba waliyoitoa kwa Watanzania

  Meli hiyo inayoendesha operesheni ya amani ya mwaka 2017, imemaliza ziara yake ya siku 8 nchini Tanzaina na kuondoka bandari ya Dar es Salaam.

  Katika siku hizo 8, licha ya kufanya matibabu ndani ya meli hiyo, jeshi hilo pia lilipeleka madaktari 74 katika hospitali za kijeshi za Tanzania kufanya matibabu na upasuaji, ambapo watu 6,441 wamepata matibabu.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako