• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  •  Maandalizi ya timu ya Kenya kuelekea kombe la dunia 2019

    (GMT+08:00) 2017-11-28 12:44:21
    Chama cha mchezo wa raga nchini Kenya kimesema maandalizi ya timu ya taifa (simbas) kwa ajili ya mashindano ya kombe la dunia mwaka 2019 yataanza rasmi baada ya ligi kuu ya mchezo huo inayoendelea hivi sasa itakapokamilika mwezi machi mwaka 2018.

    Lengo ni kuwapa nafasi wachezaji kushiriki kikamilifu katika klabu zao, jambo ambalo kwa mujibu wa chama hicho litaongeza umaridadi wao.

    Katika mechi zake za kufuzu kombe la duni , Kenya Simbas watacheza na Moroco June 23, Zimbabwe June 30 na Uganda Julai 7, Tunisia Agosti 11 na Namibia Agosti 18.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako