• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Genaro Gattuso akabidhiwa AC Milan

    (GMT+08:00) 2017-11-28 12:45:58
    Uongozi wa klabu ya AC Milan ya nchini Italia umemteua nyota wa zamani wa timu hiyo Genaro Gatuso kuwa kocha mpya baada ya kumalizana na Vicenzo Montella aliyetimuliwa na kufuatia matokeo mabaya ya timu hiyo msimu huu.

    Licha ya kutajwa kuwa na uzoefu mdogo, Gattuso ameendelea kutazamwa kama tumaini jipya la klabu yake hiyo ambayo mpaka sasa imeonekana kutofanya vizuri kwa misimu minne mfululizo, ambapo ilishindwa kumaliza katika nafasi tano za juu kwenye msimamo wa ligi.

    Timu alizowahi kufundisha Gattuso ni Sion akiwa kocha mchezaji, Palermo, OFI Crete, na mpaka anateuliwa kuiongoza Milan alikuwa kocha mkuu wa timu ya vijana ya AC Milan.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako