• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Mjumbe maalum wa serikali ya China kutembelea Zimbabwe

    (GMT+08:00) 2017-11-28 19:05:25

    Msemaji wa wizara ya mambo ya nje ya China Geng Shuang amesema, msaidizi wa waziri wa mambo ya nje wa China Bw. Chen Xiaodong atafanya ziara ya siku mbili nchini Zimbabwe kuanzia kesho.

    Bw. Geng amesema, China na Zimbabwe zina urafiki mzuri na matokeo mazuri ya ushirikiano, na China inapenda kushirikiana na Zimbabwe kusukuma mbele kudumisha mwelekeo mzuri wa maendeleo ya uhusiano kati yao.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako