• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Mumias kupunguza mapato katika jitihada za kufungua kampuni ya maji

    (GMT+08:00) 2017-11-28 20:12:41
    Kampuni ya sukari ya mumias ina mpango wa kufufua mradi wake wa chupa za maji mwishoni mwa mwaka, baada ya kufungwa mwaka 2015.

    Mkurungenzi mkuu Nashon Aseka wanajaribu kuangalia njia za kupunguza matumizi ya fedha na kuongeza faida kwa kuwa inataka kupanua mapato yake.

    Aidha anasema wanafanya kile wawezalo kujiepusha na gharama za juu kama ilivyokuwa hapo awali, ambayo ilichangia katika kosesha kampuni hiyo faida.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako