• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rwanda RDB imeweka wazi nafasi za uwekezaji katika sekta ya nyumba

    (GMT+08:00) 2017-11-28 20:13:01
    Bodi ya Maendeleo ya Rwanda, imesema ianhitaji wawekezaji zaidi katika sekta ya nyumba na ujenzi ili kuhakikisha nyumba za bei nafuu zipataikana.

    Philip Lucky meneja wa uwekezaji na masoko, katika bodi hiyo, amewasihi uwakilishi wa biashara kutoka angalo kuwekeza sekta ya nyumba kwani inachangia zaidi ya asilimia 8ya Pato la Taifa.

    Aidha amesema wanahitaji nyumba za bei nafuu kuweza kukidhi mahitaji ya watu wao.

    Uwekezaji katika sekta ya nyumba nchini Rwanda umeongezeka kutoka dola milioni 100 hadi dola milioni 596 katika kipindi cha miaka 14 iliyopita.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako