• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kenya: Sekta ya utalii imekua kwa asilimia 10.4 katika miezi tisa

    (GMT+08:00) 2017-11-28 20:15:53

    Sekta ya utalii ya kenya ilirekodi ukuaji wa asilimia 10.4 katika miezi ya kwanza ya mwaka 2017.

    Waziri wa utalii Najib Balala amesema uingiaji wa wageni wa Kimataifa umeonekana zaidi kwenye uwanja wa ndege wa jomo Kenyatta Nairobi ikilinganishwa na uwanja wa Moi Mombasa.

    JKIA ilirekodi ukuaji wa asilimia 11.1 na kupokea wageni zaidi ya 655,569 ikilinganishwa na 589,958 mwaka wa 2016, wakati uwanja wa Moi ulipokea wageni 66, 699 ikilinganishwa na 65,600 mwaka 2016.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako