• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • WADA yamtuhumu Grigory Rodchenkov kugawa dawa za kuongeza nguvu kwa wanariadha wa Urusi

    (GMT+08:00) 2017-11-29 09:05:53

    Mpelelezi wa Urusi Grigory Rodchenkov anatuhimiwa na shirika la kupambana na dawa zilizokataliwa michezoni duniani (WADA) kwa kugawa dawa hizo kwa wanariadha wa Urusi.

    Serikali ya Urusi imesema wanariadha wake hawakujua kuwa Grigory Rodchenkov alikuwa akiwapa dawa ambazo zinazongeza nguvu. Rodchenkov amewahi kuwa mkuu wa kitengo cha kuzuia dawa hizo mjini Moscow.

    Tuhuma hizi zinakuja siku chache baada ya wanariadha wa Urusi kufungiwa kushiriki michuano ya kimataifa ya Olimpiki mwaka 2018 yatakayofanyika Koreka Kusini.

    Awali WADA imewahi kumshutumu Rodchenkov kwa kuharibu sampuli za wanamichezo wa Urusi maksudi ili kuondoa ushahidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako