• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Kongamano la 3 la nadharia ya vyama vya siasa vya China na Afrika lafanyika hapa Beijing

    (GMT+08:00) 2017-11-29 18:59:09

    Kongamano la 3 la nadharia ya vyama vya siasa vya China na Afrika limeanza leo hapa Beijing na kuhudhuriwa na viongozi mbalimbali akiwemo mkuu wa idara ya mawasiliano na nje ya kamati kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China Bw. Song Tao, naibu mkuu Bw. Xu Lvping na wawakilishi zaidi 60 kutoka nchi 20 za Afrika .

    Akizungumza kwenye ufunguzi wa kongamano hilo, Bw. Song Tao amesema jumuiya yenye mustakabali wa pamoja ya ya China na Afrika ni sehemu muhimu ya jumuiya yenye mustakabali wa pamoja ya binadamu wote. Amesema Chama cha kikomunisti cha China kinapenda kuendelea kuhimiza uhusiano na vyama mbalimbali vya siasa kutoka nchi za Afrika, kuzidisha uelewano wa kisiasa, kuhimiza ushirikiano halisi, na kujenga jumuiya yenye mustakabali wa pamoja ya binadamu kwa pamoja.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako