• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Beijing yazindua simu ya moja kwa moja ya HIV/AIDS

    (GMT+08:00) 2017-11-30 19:38:39

    Beijing imezindua simu ya moja kwa moja itakayosaidia kutoa ushauri kwa watu wenye maambuzizi ya UKIMWI na wanaougua UKIMWI.

    Utepe Mwekundu wa Nyumba ya Beijing, ambalo ni shirika lisilo la kiserikali, limezindua simu hiyo kutoa huduma kadhaa, ikiwemo uelewa sahihi wa UKIMWI, tathmini ya ngono zembe,na ushauri wa kisaikolojia.

    Mtaalam wa UKIMWI kutoka hospitali ya Ditan ya Beijing Zhao Hongxin amepokea simu ya kwanza na kujibu maswali kuhusu ngono zembe na dawa za kupunguza makali ya UKIMWI.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako