• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Rais wa China akutana na aliyekuwa rais wa Marekani Barack Obama

    (GMT+08:00) 2017-11-30 19:40:26

    Rais Xi Jinping wa China jana amekutana na aliyekuwa rais wa Marekani Bw. Barack Obama.

    Rais Xi amepongeza juhudi za Bw. Obama katika kuhimiza maendeleo ya uhusiano kati ya China na Marekani wakati alipokuwa rais. Pia amefahamisha matokeo ya mkutano mkuu wa 19 wa Chama cha Kikomunisti cha China.

    Kwa upande wake, Bw. Obama amesema anapenda kuendelea kufanya kazi kwa ajili ya kuzidisha maelewano na ushirikiano kati ya Marekani na China.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako