• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Wazo la jamii yenye mustakabali wa pamoja inabadilishwa kuwa vitendo kamili

    (GMT+08:00) 2017-12-01 19:16:11

    Rais Xi Jinping wa China ambaye pia ni Katibu Mkuu wa Kamati Kuu ya Chama cha Kikomunisti cha China (CPC) amesema, pendekezo la kujenga jamii yenye mustakabali wa pamoja kwa binadamu inabadilishwa kutoka wazo na kuwa vitendo kamili.

    Rais Xi amesema hayo wakati akitoa hotuba kwenye hafla ya ufunguzi wa Mkutano wa Ngazi ya Juu wa Majadiliano ya CPC na Vyama vya Siasa Duniani uliofanyika hapa Beijing. Amesema anafurahi kuona ushirikiano wa kirafiki kati ya China na nchi nyingine unaendelea kupanuka, na dhana ya jamii yenye mustakabali wa pamoja inaungwa mkono zaidi.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako