• Idhaa ya Kiswahili
 • Uchumi
 • Michezo
 • Facebook
 • ChinaABC
 • Sayansi
 • Afya
 • Tanzania: Maonyesho ya viwanda kufanyika mjini Dar es salaam

  (GMT+08:00) 2017-12-01 19:43:11
  Mamlaka ya Maendeleo ya Biashara (TanTrade) kupitia Wizara ya Viwanda, Biashara na Uwekezaji imeandaa maonyesho ya viwanda Desemba 7 hadi 11,2017 katika viwanja vya Sabasaba, jijini Dar es Salaam.

  Maonyesho hayo yenye kauli mbiu "Tanzania sasa tunajenga viwanda" yatawakutanisha zaidi ya wenye viwanda 500 ambao watapata fursa ya kuonyesha bidhaa zao.

  Akizungumzia maonyesho hayo Waziri wa Viwanda, Biashara na Uwekezaji, Charles Mwijage amesema yanalenga kuwaleta pamoja wafanyabiashara ili kubadilishana uzoefu katika kazi.

  Webradio
  Sauti
  6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 1
  12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 2
  20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
  • FM 3A
  • FM 3B
  Maoni yako