• Idhaa ya Kiswahili
  • Uchumi
  • Michezo
  • Facebook
  • ChinaABC
  • Sayansi
  • Afya
  • Ofisa mwandamizi wa CPC akutana na wageni wanaohudhuria mkutano wa Internet duniani

    (GMT+08:00) 2017-12-04 08:42:06

    Mjumbe wa kudumu wa Ofisi ya siasa ya Kamati kuu ya chama cha kikomunisti cha China Bw. Wang Huning amekutana na wageni wanaohudhuria Mkutano wa nne wa internet duniani unaofanyika huko Wuzhen mkoani Zhejiang, China. Wageni aliokutana nao ni naibu waziri mkuu wa Thailand Prajin Juntong, naibu waziri mkuu wa Mongolia Bw Enkhtuvshin, aliyekuwa waziri mkuu wa Ufaransa Bw. Dominique de Villepin, ofisa mtendaji mkuu wa kampuni ya Apple Tim Cook na ofisa mtendaji mkuu wa kampuni ya Cisco Bw. Chuck Robbins.

    Webradio
    Sauti
    6:00-7:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 1
    12:00-13:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 2
    20:00-22:00 (Afrika Mashariki)
    • FM 3A
    • FM 3B
    Maoni yako